
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua
kitambaa kuzindua rasmi mradi wa ujenzi wa nyumba 290 za gharama nafuu
zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)
maeneo ya Kibada, Kigamboni, wilaya
ya Temeke mkoa wa Dar es salaam leo December 13, 2012 . Kushoto ni Mama Salma
Kikwete, kulia ni Naibu
Waziri wa Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole-Medeye,
anayefuatiwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mhandisi Kesogukewele Msita , Mkurugenzi Mkuu Bw. Nehemia
Mchechu,

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiakata
utepe kuzindua rasmi mradi wa ujenzi wa nyumba 290 za gharama nafuu
zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)
maeneo ya Kibada, Kigamboni, wilaya
ya Temeke mkoa wa Dar es salaam leo December 13, 2012, akiwa pamoja
na Mama Salma Kikwete, Naibu
Waziri wa Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole-Medeye, Naibu Waziri wa Fedha Sara Salum, Mwanaseheraia Mkuu wa Serikali Bw
Jaji Frederick Werema, Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile ,Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mhandisi Kesogukewele Msita , Mkurugenzi Mkuu Bw. Nehemia Mchechu,

Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akitembelea moja ya nyumba baada ya kuzindua rasmi mradi wa ujenzi wa nyumba
290 za gharama nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)
maeneo ya Kibada, Kigamboni, wilaya
ya Temeke mkoa wa Dar es salaam leo December 13, 2012 . Wa tatu
kulia ni Mama Salma Kikwete, kulia ni wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole-Medeye, kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mhandisi Kesogukewele Msita , Mkurugenzi Mkuu Bw. Nehemia Mchechu,
No comments:
Post a Comment