Wa kwanza Kushoto Naki,Amina Design,Lucy Kimei na Mtarajiwa Madeline Kimei sherehe iliyofanyika jumapili iliyopita katika ukumbi wa 5star Hall Mbezi Beach. ilipendeza sana huu ni mfululizo wa picha za Kitchen party ya binti huyo.
Kama ni zawadi bibi alipata ! mfungasho huo alobeba Naki ni kutoka kwa marafiki wa dada Lucy dada wa bibi harusi, na kuzaliwa hiyo ndo familia ya Kimei watoto wawili tu! Lucy na Madeline, kwisha kazi.
No comments:
Post a Comment