



Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi
wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiangalia mfano wa jengo jipya la
makao makuu ya Jumuiya hiyo pamoja na maelezo yake baada ya kulifungua
rasmi Novemba 28, 2012 jijini Arusha.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki wakifunua pazia kufungua rasmi
jengo jipya la makao makuu ya Jumuiya .

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wakuu wenzie wa nchi
wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na wadau
pamoja na wabunge wa Afrika Mashariki.

Muonekano wa viongozi na kushoto waziri mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda.

Uzinduzii wa aina yake.

Viongozi wakikata utepe kwa pamoja.

Mawili matatu yalikuwepo

Muonekano wa jengo katika kiigizo.
No comments:
Post a Comment