
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa na viongozi wa dini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa kilimanjaro , tayari kwa ziara ya siku tatu ya kikazi mkoani
Arusha

Mungu kwanza mengine baadae maombi yalitangulia mazungumzo.

Dua nayo ilichukua mkondo wak,
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiombewa dua na viongozi wa dini mara baada ya kuwasili
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa kilimanjaro ,tayari
kwa ziara ya siku tatu ya kikazi mkoani Arusha

Pamoja tunaweza.
No comments:
Post a Comment