Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa
Wafanyabiashara na Wawekezaji kati ya Israel na Tanzania, katika ukumbi wa
Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, Machi 17, 2014.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipongezwa na Naibu
Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene, baada ya kufungua rasmi mkutano wa
Wafanyabiashara na Wawekezaji kati ya Israel na Tanzania, katika ukumbi wa
Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, leo Machi 17, 2014. Kulia ni Mwenyekiti
wa Makampuni ya IPP, Regnald Mengi (wa pili kulia) ni Mwakilishi wa Ubalozi wa
Israel kwa nchi za Tanzania, Kenya Uganda na Seychells, Gilad Millo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka
kwa Mtaalamu wa Kilimo, Maximillian Sarakikya, wakati alipotembelea banda la
Kampuni ya Balton Tanzania, baada ya kufungua rasmi mkutano wa
Wafanyabiashara na Wawekezaji kati ya Israel na Tanzania, katika ukumbi wa
Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua
Kampuni ya Balton Tanzania, baada ya kufungua rasmi mkutano wa Wafanyabiashara
na Wawekezaji kati ya Israel na Tanzania, katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere
jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa
mkutano huo wakimsikiliza kwa makini Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
wakati alipokuwa akiwahutubia ukumbini humo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano huo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimina na Makamu Mwenyekiti wa
CCM Tanzania Bara, Phillip Mangula, ambaye pia alikuwa ni miongoni mwa
washiriki wa mkutano huo, mara baada ya kufungua mkutano huo kweny Ukumbi wa
Mwalimu Nyerere.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiondoka ukumbini baada
ya kufungua rasmi mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kati ya Israel na
Tanzania, katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam,
No comments:
Post a Comment