Friday, May 31, 2013

VIDEO YA MWISHO KATIKA MAISHA YA ALBERT MANGWEA




YAHUSU: MCHANGO WA MAZIKO YA ALBERT MWANGWEA


 KUTOA NI MOYO USAMBE SI UTAJIRI WAUNGWANA! TAFADHALI TUSHIRIKINE KATIKA HILI,

HARAKATI ZINAENDELEA ZA MAZISHI NA MAZIKO ZA ALBERT MANGWEA





Mnyama akisubiri nje ya studio ambaye pia ni mwanakamati wa mazishi na maziko ya Albert Mangwea.

CHAKO MWENYEWE KAKUPA MAMA KIUNO! KIZUNGUSHE


KIUNO YA T.I.D FT. ALBERT MANGWEA



mshirika wa marehemu Albert Mangwea , mzee mzima mnyama wa unyamani, TID top in Dar-es-Salaam, mzeee wa kiuno yuko mjengoni tusubiri kusikia kutoka kwake. ila picha nazo baadani cheki kiuno hii hapa chini

KIDATO CHA 4, UFAULU WAPANDA KWA 23%

                                        
      
                    Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa.

Thursday, May 30, 2013

BADO NI MAJONZI JUU YA KIFO CHA ALBERT MANGWEA


Kenneth Mangwea kaka wa marehemu Albert Mangwea ana neno kwako.
Kenneth jana alikua na majozi kwa kila kinachoendelea kuhusiana na msiba wa mdogo wake! kwamba msiba huo usichanganywe na siasa ama suala lingine lolote, zaidi anachoomba ni ushirikiano, na ushiriki wa namna yoyote ili kufanikisha mazishi na maziko  ya mdogo wake.

BRIGIT ALFRED AWAFUNDA WAREMBO WA REDD'S MISS SINZA 2013


 Miss Sinza na Miss Tanzania 2012-2013, Brigit Alfred (kulia) akizungumza na Warembo wanaotarajia kuwania Taji la Redd's Miss Sinza 2013, wakati alipowatembelea katika Kambi yao ya mazoezi jana katika Ukumbi wa Meeda Sinza na kuwafunda kuhusu mashindano hayo kuelekea shindano hilo linalotarajia kufanyika Juni 7,mwaka huu kwenye Ukumbi huo. Katika shindano hilo Viingilio vitakuwa ni Sh. 20,000 kwa VIP na viti vya kawaida ni Sh. 10,000. Shindano hilo limedhaminiwa na Mtandao wa www.sufianimafoto.com, kinywaji cha Dodoma Wine, Chilly Willy Energy Drink, Clouds Media Group, CXC Africa, Saluti5 na Fredito Entertainment.

Wednesday, May 29, 2013

TRA WAJA MJENGONI KUJIBU MALALAMIKO YA WATEJA


Richard Kayombo ambaye ni mkurugenzi wa huduma na elimu wa TRA, amewaeleza wazi wafanya biashara yakwamba wiki-wiki mbili zitatolewa kuwasubiri walipe kodi, ikishindikana, watapewa siku 21 wasipolipa kodi basi mizigo yao itataifishwa kisheria.

NIMEZIPENDA SUTI ZA TAIFA STARS KIUKWELI


WOW inapendezaje! na miili ya ki sport ndani ya suti! utawataka Taifa stars.

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NA KUMPA POLE KUFUATIA VIFO VYA ASKARI



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Mkuu wa jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali Said Mwema, ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, wakati alipofika kwa mazungumzo Mei 27, 2013.

Tanzania yasema vitisho M23 haviinyimi usingizi


                                Msemaji wa JWTZ, Kanali Kapambala Mgawe

BAADA YA KUSEMWA KUHUSU KUNENEPEANA


                                                                   Ray alivyokuwa awali

MFUKO WA PENSHENI KWA WATUMISHI WA UMMA (PSPF)


 


MAUZO YA NYUMBA ZA PSPF

NIMETOHOA KATIKA SURA KITABU


NAMNUKUU- MZALENDO WA KUJITOLEA




R.I.P ALBERT MANGWEA




                                           Albert  Mangwea

Tuesday, May 28, 2013

Monday, May 27, 2013

WALIOKO PEMBEZONI NA MADHILA YAO


Kila familia huko Shinyanga vijijini kila aliyemo ni lazima ajifunze na kujua kutumia baiskeli, kama hujui basi utatembea umbali mrefu mno!

HII NI WIKI YA HIP HOP MJENGONIII,TWAANGALIA FURSA,UTAMADUNI WA HIP HOP


Hamisi Mwinyijuma a.k.a mwana Fa, ama waeza mwita binamu! mwanamuziki mwenye elimu dunia na muziki anaumudu! na leo hii ni siku yake mjengoni katika wiki ya hip hop kabla ya kwenda kufanya kweli, get ready twenzetu!

Thursday, May 23, 2013

VURUGU ZAIBUKA MKOANI MTWARA BAADA YA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KUSOMWA BUNGENI, MJINI DODOMA



AJALI YA LORI YA MAFUTA CHANG'OMBE DSM


Lori lililokua likitokea Bandarini kwenda Ubungo likiwa limepinduka baada ya kuigonda daladala hatimaye kupinduka na kuilalia gari nyingine kama inavyoonekana pichani. Tukio hili limetoke barabara ya Chang'omb jijini Dar es Salaam.Ajali hii ilisababisha msongamano mkubwa wa magari na baadhi ya watu walionekana wakichota mafuta yaliyo mwagika.

Wednesday, May 22, 2013

MTANANGE WA MABONDIA NA TASWA FC

 Kikosi cha Taswa Fc, TIMU ya Taswa Fc  iliibuka na ushindi wa mabao 2-1

PICHA NILIZO CHAGUA KWA SIKU YA LEO


Kiukweli nawasifu sana wanaoyatengeneza matunda katika maumbo mbali mbali na mara kadhaa huwa natamani nami nijue namna ya kuyabuni maumbo mbali mbali kwenda katika matunda! msaada tafadhali, kwa ajuaye  anifundishe tafadhali.

UM WAAHIDI KUIPIGA JEKI TANZANIA KUBORESHA LISHE BORA


                                                                      Baadhi ya vyakula

UNAWEZA KUULA MOYO WA BINAADAMU WEWE!






Kisa cha hivi karibuni cha Muasi nchini Syria kuula moyo wa mwanajeshi aliyeuawa, kiliwashangaza wengi. Lakini tukio kama hili je ndilo la kinyama zaidi kuliko matukio mengi yanayoshuhudiwa katika maeneo ya vita?

RAIS OBAMA AJIANDAA KWA ZIARA AFRIKA


                            Rais wa Marekani Barack Obama atazuru Afrika kwa mara ya tatu


OSCAR PISTORIUS HATASHIRIKI MWAKA 2013


                              Oscar Pistorius hayuko hali nzuri kiakili kushiriki mwaka 2013


Wednesday, May 15, 2013

SEE THE VIDEO YA ANGELINA JOLIE

CHANGAMOTO ZA MAISHA



                                       Angelina Jolie

Mcheza filamu mashuhuri duniani,Angelina Jolie amesema kwamba amekatwa matiti yake yote pamoja na kuondoa mfuko wake wa uzazi.

ENZI HIZOOO! NA MAKTABA YANGU


Efraimu Kibonde, Asmah Makau nami Regina Mziwanda.