
Ray atakuwa ameungana na Celebs wengine ,Nay wa mitego,Diamond,Jux na wengineo walioona siyo ishu kuwa na miili iliyokaa kizembe zembe miili ambayo kwa kiasi flani inapoteza mvuto kwa fans.



No pain no gain Ray! all the best, wengine nao waige mfano wako kaka.
No comments:
Post a Comment