
Kichwa cha treni hiyo kikiwa kimepasuka kioo cha mbele.
Chanzo cha ajali kiki pekuliwa

Kiatu kikiwa kimebaki pekee na mhusika akiwa hajulikani alipo.
Askari wa Mexico wakichunguza kwa umakini ili kubaini chanzo cha ajali hiyo.

Kama kawaida wasamaria wema huwepo eneo lenye kuitaji msasada, ni kama malaika vile!

Sakanya ya manusura

Maungio? yes yako poa1 nyaya zimekwanyuka

Ondoa mataruma yaliyoharibika, na kutandika tena yaliyo mazima

Wanakaza maungio? ama wanataka kulisimamisha behewa? sijaelewa kwakweli

Behewa hizo za mizigo zikiwa kichwa chini miguu juu.
No comments:
Post a Comment