Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya
viongozi wa Mkoa wa Kigoma
wakati walipokuwa wakimpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma
leo mchana. Makamu amewasili mkoani Kigoma kwa ajili ya kuzindua Kivuko
kipya cha Malagalasi katika
Wilaya ya Uvinza
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia burudani ya
ngoma za asili kutoka kwa wakazi wa Mkoa wa Kigoma, wakati alipowasili kwenye
Uwanja wa Ndege wa Kigoma
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia
burudani ya ngoma za asili na kumpongeza mmoja wa wasanii hao.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza baada ya
kukabidhiwa ripoti ya Mkoa wa Kigoma jana mchana.
No comments:
Post a Comment