
Parachuti zikianza kuruka!

Safari imenza! hapa ni kabla ya ajali'

Parachuti linaripuka

Shughuli imekwisha! idadi ya waliokuwemo haijulikani ingawa inaelezwa kua 19 wamepoteza maisha.

Kikosi cha uokozi kikitazama mabaki ya parachuti hilo na pengine kama kuna manusura.

mabaki ya parachuti hilo

Masalia ya mitungi ya gesi iliyokuwemo katika parachuti hilo.

Mabaki ya miili ikiondolewa eneo la tukio

Eneo la tukio na mashuhuda kwa mbali gari za dharura zikisubiri

Michael Rennie manusura ,alisafirishwa kwa ndege kutoka eneo la tukio kwenda hospitalini kupata matibabu

Askari eneo la tukio

Utalii wa kutumia parachuti huko Masri si jambo geni! ila ajali ni ajali. poleni ndugu zetu.
No comments:
Post a Comment