MAKAMU WA RAIS DK. BILALI AFUNGUA RASMI MKUTANO WA PAMOJA WA KIMATAIFA WA WATAFITI WANASAYASI AFRIKA
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiangalia wadudu wa ugonjwa wa Maralia kwa kwa kutumia Mashine ya
Hadubini, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonyesho wakati wa
ufunguzi wa Mkutano wa pamoja wa Kimataifa wa Watafiti wanasayansi wa
Afrika, alioufungua Aprili 16, 2013 jijini Arusha.
Makamu wa
Rais Dkt. Bilal,akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuuwa Mawasiliano wa
Kampuni ya Utafiti, Mafunzo na Huduma ya Ifakara Health Institute, David
Mbulumi, wakati alipokuwa akitembelea Mabanda ya maonyesho katika
mkutano huo.
Makamu
wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwa katika picha ya Pamoja na
Washindi wa Tuzo za mwaka 2012 za Masuala ya Afya, Prof. Ester Mwaikambo
(kushoto) na Dkt Martha Lemnge, baada ya kuwakabidhi tuzo zao jana.
Kulia ni Mkurugenzi wa NIMR, Dkt. Mwele Malecela
Makamu wa
Rais Dkt. Bilal,akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuuwa Mawasiliano wa
Kampuni ya Utafiti, Mafunzo na Huduma ya Ifakara Health Institute, David
Mbulumi, wakati alipokuwa akitembelea Mabanda ya maonyesho katika
mkutano huo
Makamu wa
Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, pamoja na Mkurugenzi wa NIMR, Dkt.
Mwele Malecela wakizindua rasmi awamu ya nne ya Vipaumbele vya Tafiti za
Afya kwa mwaka 2013-2018
No comments:
Post a Comment