
Veteran: Seven-time F1
world champion Michael Schumacher
Mshindi
wa mara 5 wa mashindano ya formula one Michael Schumacher ,anapigania uhai wake
baada ya kupata ajali aliyoipata jana katika
mchezo wa kuteleza, na kupata madhara katika ubongo wake wakati alipokua
akicheza kwenye barafu!

Hii ni ramani yenye
kuonesha tukio la nguli wa mbio za magari almaarufu kama langalanga.

Chopa ikionekana nje ya
hospitali ya Grenoble, karibu na milima
hiyo ya kifaransa ya Alps, mahali ambapo bingwa huyu wa mara saba wa mbio za Formula
One nguli Michael Schumacher anatibiwa.

Huyu ni bingwa wa
upasuaji dk Gerard Saillant ndiye aliyemfanyia upasuaji star huyo wa Formula 1

Hospitali alikolazwa nguli Michael Schumacher

Michael inasemakana
alianguka na kubamiza kichwa chake kwenye mwamba japokua alikua amevaa kofia
ngumu huko Meribel ski resort kwenye milima ya Alps

Eneo la Maribel ambako Michael
Schumacher alikopatia ajali,linavyoonekana

Michael akiwa kwenye mbio hizo za Langa Langa

Baadhi ya mashabiki wa
Ferrari wakipeperusha bendera katika baadhi ya mashindano yam kali huyo,ambapo
kwa jinsi wanavyompenda, baadhi waliamua kwenda kungoja nje ya mlango wa
hospitali,walau kupata habari njema za hali ya mpendwa wao Michael.

Fun akisubiri nje ya hospitali

Michael Schumacher ashapata ajali nyingi mno mashindanoni lakini hazikumletea madhara hata kidogo!
Baada ya ajali
hiyo,Schumacher alikua hajitambui na kuleta shaka juu ya majaaliwa yake baada
ya kuteleza na kuanguka katika milima ya Alps hujo Ufaransa maarufu kama French
Alps,inaelezwa kwamba Mke wa Michael Corinna na wanawe wawili inadaiwa kwamba
wako pamoja naye hospitalini.
Kutokana na ajali hiyo
dereva huyo wa Formula One alifanyiwa upasuaji wa ubongo.
MICHAEL SCHUMACHER'S CAREER INCREDIBLE F1 CAREER

Michael Schumacher on the podium after winning the Malaysian Grand Prix in 2001
1973: Made his racing debut in a kart race.
1987: Won German and European kart championships.
1988: Finished fourth in German Formula Ford championship and second in the European series in first year of car racing.
1990: Won first major single-seater title, clinching the German Formula Three crown. Stepped up to sportscars, driving for Mercedes.
1991: Made Formula One debut for Jordan in Belgium, qualifying seventh before retiring. Raced for Benetton for the rest of the season.
1992: Wins first grand prix in Belgium on his way to third in the championship.
1994: Wins eight grands prix en route to world title but clashes with Damon Hill in final race of the season.
1995: Retains world crown, winning nine races.
1996: Moves to Ferrari and wins three races on his way to third in championship.
1997: Wins five races but is stripped of second in the championship for attempting to take out his title rival Jacques Villeneuve at Jerez.
1999: Breaks his leg at Silverstone when easily leading the championship.
2000: Wins Ferrari's first world title since 1979, amassing nine wins during the season.
2001: Another nine wins and another title, setting a new record for all-time victories on the way.
2002: Wins championship in record time, setting a new mark of 11 victories.
2003: Wins title by a point after six victories, breaking Juan Manuel Fangio's record of five championships.
2004: Breaks his own record for wins in a season to take his seventh world title.
2006: September - Announces his retirement at end of 2006 season after winning Italian Grand Prix.
2009: July - Makes shock return to Formula One with Ferrari, deputising for Felipe Massa who was injured in qualifying for the Hungarian Grand Prix.
2010: Comes out of retirement and signs for Mercedes at the age of 40. He was unveiled at the Mercedes factory in Brackley, Northamptonshire.
2012: June - Ends his six-year wait for a podium with an impressive drive to third in the European Grand Prix.
2012: October - Announces that he will retire from Formula 1 at the end of the season.
No comments:
Post a Comment