Friday, September 20, 2013

HATA KAMA LAKINI WENYEWE KWA WENYEWE? MH


WIKI ILIYOPITA WANAUME WAWILI AMBAO NI WANAJESHI WASTAAFU, WALIOANA KATIKA ENO LAO LA MAKAAZI MAHALI AMBAPO NDOA HIYO KATI YA WATU WA JINSI MOJA KUOANA HIYO NI YA KWANZA
 WAPENZI HAO MMOJA  ALIYEPIGANA VITA VIKUU VYA KWANZA VYA DUNIA ANA UMRI WA MIAKA 95 NA JINA LAKE NI - John Banvard,NA AMEMUOA MPENZI WAKE WA SIKU NYINGI MWENYE UMRI WA MIAKA  , 67 AITWAYE  GERARD NADEAU,AMBAYE ALITUMIKA WAKATI HUO  KATIKA NCHI YA  VIETNAM KAMA MWANAJESHI. WAWILI HAO WAMEDUMU PAMOJA MAPENZINI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 20.

MBUZI GHALI KULIKO WENGINE





BBA WINNER DILLISH APATA ZAWADI YA MCHUMA KWENYE RECEIVES A CAR FOR HER Birthday



Kumbuka kwamba Dilish alizoa zawadi ya  dola za kimarekani 300,OO0 baada ya kua mshindi wa  Big Brother The Chase  lakini pia alipata bahati ya kukutana na babake alopoteana naye kwa miaka mingi mwenye asili ya Kenya.baba ambaye hakuwahi kuonana naye ni mpaka aliporejea nyumbani  Kenya kwa kua yeye ni Askari.  Sherehe hiyo ilinogea hapo baada ya kuungana na baba yake.