


Mwimbaji huyo maarufu wa nyimbo za injili nchini Kenya Emmy Kosgei
ndoa yake imekua gumzo nchini humo na hata Africa mashariki kwa wanaofuatilia
nyimbo za injili za jirani kama mimi, Emmy ameolewa na mwanamume wa ki Nigerian
ambaye ni mchungaji mkubwa nchini mwake Anslem
Madabuko ambaye amemzidi kwa zaidi ya miaka 30 na aeza kua babake, lakini waambiwa
mapenzi ni upofu, achilia mbali hilo, ndoa hiyoimekua ghali kuliko zote za hivi
karibuni kwani bilioni moja imeteketea kufanikisha ndoa hiyo, si mchezo, hapana
chezeda Anselm wewe.







Katika mtandao wa twitter,umoja wa wakenya waliomo humo wana
jiita KoT (Kenyans on Twitter) walimchamba vilivyo dada yao Emmy kwa kuamua
kuolewa na mtu ambaye aeza kua daddy yake!, lakini hilo halikumzuia Emmy kuijongea altare ya bwana na kufunga ndoa,na kasha
kufuatiwa na sherehe 3 za ndoa, na mfululilzo huo wa sherehe umekua kama
komesha kwa haters wake! na kama hiyo
haitoshi, mtoto alipewa zawadi ya BMW X6
na huo; ukawa ndo msumari wa mwisho
kwenye jeneza, hapana chezea jeuri ya pesa wewe.

Anselm na Emmy siku ya harusi yao kanisani;

Wakati hayo yakisemwa, wenyewe wa mahabani haifai

Mwanamke wa kibantu hasa! anavutia maashallah

Akiwa haamini macho yake, baada ya kuiona zawadi ya harusi alopewa na mumewe.

Mchuma mpyaaaa

Mchungaji mwenyewe ndiye alimsurprise mkewe

Baada ya yoote! mapumziko yalifuata.

Bwa harusi chumbani

Maharusi wakiwa honeymoon kwa raha zao!
No comments:
Post a Comment