

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya Viongozi wa Kampuni ya simu za mkononi ya Zante, waliofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya Viongozi wa Kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment