Bi harusi Zakkia Mustafa, akiwa katika harakati za kurembwa, hapa ni hatua za awali

Bi harusi alikua na bashasha maashallah! ndivyo alivyovaa mwenyewe!

Mabibi hawa wamekua wote tangu utoto na ni marafiki hata leo! mabibi wakarimu mno! huyo mwenye rasta aniwe=ie radhi si nimesahau jina lake? ila alini keep busy hatarii, sikujuta kumfahamu na bado nawakumbuka na kuwamiss!THANX A LOT LADYS

Hajat lake shungi bibie ili astirike!

Mpambaji mkali kuliko wote mjini mbeya mama mwajuma, bibi wa mjukuu mmoja1 a.k.a bibi bomba naye alikua mchangamfu na alimpamba vilivyo bi harusi! maashallah

Bi Zakia akiwa na tabasamu baada ya kuona muonekano! lakini muwinda naye huwindwa! nimo!

Mwari alofundwa akafundika1 huinama! hakai kishingo juu asilani1 maashallah bi harusi, asante

Bi harusi ni kama anawaza sherehe itakuaje? poa moyo mama, ilipendeza hatariiii!

Mtu na mwari wake maashallah, sio Naigeria tu! hata hapa unaweza kuonekana kama wao! kwani wao wameweza wana nini na sisi tushindwe tuna nini?

Matron naye alitokelezeaje?

Ndivyo alivyotupiamo!

Ukijichanganya utasema ni wanaijeria hawa! aaagh wapi watoto wetu wa kibongo hawa wanatisha1

Mtu akipendeza shurti atabasamu muda wote.

Bi harusi na mabibi zake, huyo mwenye mtandio wa njano ni bibi yake Zakia mzaa mamake, almaruhum kwa sasa mzaa chema amelala, so bi Moshi amemlea na kumuoza mjukuu wake, ASANTE BIBI.

Mashangazi na mama wadogo1

Mama wadogo

Mwenzangu! swaggar zilikua on! hahaha

Dada huyu alinifurahisha sana! japokua alikua mjamzito lakini alikua msafiiii na mwenye furaha na bashasha muda wote!

Muone kwanza raha tupu mwanzo mwisho! na mtoto atakua hivyo hivyo

TUKAENDA KUPIGA PICHA HAPA MABIBI WAKISIKIZA KWA MAKINI MAELEKEZO YA WAPIGA PICHA

Hoteli tuliyopigia picha ndo hiyo hapo jina lake, pazuriiii

Moja ya mapambo yaliyoko kwenye kuta za Beaco, maashallah

Hajat hapo ni shangazi wa bi Zakkia

Picha zikaanza bi harusi alijiachia vya kutosha tu, ndiyo1 ilikua siku yake ati

Rahaje? aliridhika

Mwanamke ukijua kupose raha mno! muone na shepu yake hatariii

Hapo vipi?

wajipange, mmiliki halali ameingia! Zaky baby

Ndugu pia walijipanga

Mama mwaj alikuwepo kupiga kumbukumbu, alikuwepo na week end ndo hii hapa nenda kwa mama mwaj pale mbeya kama umo katika jiji hilo ukarembwe na kupodolewa.
ZINGINE ZITAFUATA
No comments:
Post a Comment