Wednesday, March 27, 2013

MAFUNZO YA JKT YA MUDA MFUPI KWA WABUNGE YAFUNGWA RASMI


Amiri Jeshi Mkuu,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya muda mfupi kwa viongozi mbunge wa viti maalum Ester Bulaya jana  katika kambi ya RUVU JKT.Rais Kikwete amefunga rasmi mafunzi hayo leo yaliyofanyika kwa wiki tatu.

Tuesday, March 26, 2013

KAJALA AHUKUMIWA MIAKA 5 AU FAINI MIL 13, WEMA AJIANDAA KUMLIPIA


Wema na Kajala akipunga mkono kwa jamaa waliofika mahakamani

WAZIRI WA UCHUKUZI AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA WA TANZANIA NA UJUMBE WAKE OFISINI KWAKE



Waziri wa Serikali ya Uingereza anaeshughulika na Maswala ya Afrika, Bw. Mark Simmonds akifafanua jambo kwa Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwkyembe(Mwenye suti Nyeusi), wakati alipomtembelea waziri Mwakyembe ofisini kwake mwishoni mwa wiki. Kulia kwa Waziri Mwakyembe ni Balozi wa Uingereza Tanzania, Dianna Melsone.

Thursday, March 21, 2013

WATUHUMIWA 17 TAZARA WASIMAMISHWA KWA UCHUNGUZI




Dar es Salaam. Wafanyakazi 17 wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara), wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi baada ya kuhusishwa na tuhuma za kusafirisha mizigo kwa njia ya magendo kupitia treni ya uokoaji.

Wednesday, March 20, 2013

MAKALIO KWELI KIBOKO!



Nazungumzia hiyo milima miwili mikubwa!


REDIO NAFUUU! TV? NJE KUNA KAZI

Kwa mtazamo wangu! redio presenter wana uhuru na nafuu kubwa mno kuliko Tv presenters! tazama hii kutoka nchi za mbele!

MWANZA: WATATU WAPOTEZA MAISHA,30 WUJERUHIWA KATIKA AJALI, ENEO LA NYAMANGOLO


Watu watatu wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 30 wamejeruhiwa vibaya baada ya basi la abiria lililokuwa linatoka Musoma kwenda Mwanza kugongana uso kwa uso na lori la mizigo katika eneo la Nyamongolo Igoma jijini Mwanza.

ITV YATOA TAHADHARI JUU AKAUNTI FEKI YA FACEBOOK INAYOTUMIA NEMBO YAKE




Katika taarifa ya habari ,,imeelezwa kuwa ukurasa huo hutumika kujitangaza kuwa hutoa mikopo. ITV inawatahadharisha watu wote kujiepuha na ukurasa huo

MWANAMKE MMOJA WAUME WATANO, WOTE NDUGU, KILA MMOJA ZAMU YAKE KWENYE CHUMBA KIMOJA


Rajo (mbele) akiwa na mwanaye na waume zake watano.
 MWANAMKE, Rajo Verma, 21,  mkazi wa mjini Dehradun, India, anaishi na wanaume wake watano katika kibanda chenye chumba kimoja ambapo hulala na mwanamme mmoja kila usiku. Mwanamke huyo hana uhakika na baba wa mtoto wake mdogo wa kiume ambapo anasema: “Mwanzoni niliona matatizo kuwahudumia wote katika kuwapa unyumba. Lakini sasa nawahudumia wote bila upendeleo.” Mumewe mmoja aitwaye Guddu, 21,  ambaye alikuwa wa kwanza kumwoa anasisitiza: “Wote tunafanya naye tendo la ndoa bila wivu.

ONYO KUHUSU MATANGAZO YA KAZI KWENYE BLOGU NA TOVUTI




 
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29 (1).
Ni vyema tufahamu kuwa chimbuko la Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma limetokana na maboresho yanayoendelea katika Utumishi wa Umma nchini.  Ambapo miongoni mwa maboresho hayo ni pamoja na marekebisho ya Sera ya Menejimenti na Ajira katika Utumishi wa Umma ya mwaka 1998 toleo Na. 2 la mwaka 2008 ambapo katika Vifungu Na. 4.6  na 6.6. vya Sera hiyo ambavyo vimetamka kuwepo kwa chombo maalum cha kushughulikia mchakato wa masuala ya ajira katika Utumishi wa Umma.

Tuesday, March 19, 2013

ZIARA YA KAMATI YA MIUNDOMBINU



Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe (mwenye suti nyeusi), akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa kamati ya Miundombinu wa namna usafiri wa treni Dar es Salaam unavyofanya kazi, katika kituo cha Stesheni ya Dar es Salaam jana  asubuhi . Kamati ya Miundombinu imetembelea usafiri wa treni ya Dar es Salaam ya Shirika la Reli Tanzania (TRL
) kujionea namna usafiri huo unavyofanya kazi.

TRAFIKI AGONGWA NA GARI ENEO LA BAMAGA


Mwili wa aliyekua WP2492 Koplo Elikiza Nnko ukifunikwa eneo la tukio.
aliyekuwa akiongoza magari eneo la Bamaga, Mwenge jijini Dar, akifunikwa na wasamaria wema baada ya kugongwa na gari.

Friday, March 15, 2013

TAFAKARI!


RAHA YA MTEGO UNASE!

WAKATI UNAWAVURUGAJE WANAWAKE?



Mji huu wa Daslam! ni hatari sana, ukija moto utarudi baridi na ukija baridi utarudi moto! maana kila mtu humu mijini born hiya hiya, na lazimauondoke na swagga  lakini wengine mh! hatareeeeee

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NJE WA UJERUMAN NA UJUMBE WAKE


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Ujeruman, Prof. Harald Draun, aliyeongozana na ujumbe wake wakati walipofika Ofisini kwa makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, Machi 14, 2013 kwa ajili ya mazungumzo.

WAZIRI BERNARD MEMBE KUHUSISHWA NA MKASA WA MHARIRI ABSALOM KIBANDA


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mh. Bernard Membe

Katika gazeti la Mtanzania toleo namba 7255 la tarehe 13 Machi, 2013 ilitolewa taarifa yenye kichwa cha habari “SAKATA LA KUTESWA KWA KIBANDA: Membe atajwa” na kwamba eti mimi ninahusika na vitendo vya kikatili na unyama alivyofanyiwa Mhariri Mtendaji Mkuu wa kampuni ya New Habari, Bw. Absalom Kibanda.

Thursday, March 14, 2013

Wednesday, March 13, 2013

ULISHAWAHI KUPAMBWA NA MAZNAT BRIDAL WEYE?!!






haya sasa maznat bridal  inakuletea sherehe ya miaka kumi tangu ianzishwe....najua maznat kashapamba wengiiii, wewe bi harusi na matron na maids zako sambamba na wanakamati wako  najua ndani ya miaka 10 nao walishaozwa na wakapambwa na mkono wa
 Maznat mimi na wewe
tujumuike kwa pamoja twende tukashereheke nae

NOA BONGO


Kati ya sigara na

KAZI ZINGINE NI NOMA

Kununua kifo kwa bei rahisi mi noooooooooooo

TAFAKARI

Hata kama umechelewa kiasi gani unakokwenda! gari ya taka haiombwi lift!

HARAKATI ZA BARABARANI NA VISA VAYKE





Raia kuweni makini muwapo kwenye magari, ile ukiingia tu lock milango! then funga mkanda ndo mengine yafuate! ona hii

DUNIANI KUNA MAMBO!


Picha hii nimeifumania pahala! hahaha kuna mambo tazama kwa makini, but ni daladala  aina ya DCM lenye kufanya safari zake kati ya gomngo la mboto ama vingunguti na mwenge kwa muujibu wa rangi! MESSEGE SENT!

I LOVE YOU TANZANIA!


 Hakika mpiga picha na aliye pozisha mikono nawapa hongera woteee, kwasababu kuna ubunifu hapo mkubwa tu! na jua linaonekana kwa kati! wow! thank you so Much brother Gerald Hando maana ndiye aliyeitoa picha hii.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MKURUGENZI WA 'CITIBANK'S'


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi wa Citibank's, Patrick Dewide, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam,  Machi 12, 2013 kwa mazungumzo.

Tuesday, March 12, 2013

MANYARA YASHINDA TAJI LA TAIFA MISS UTALII 2012/13 - VIPAJI


Mshindi wa Tuzo la Vipaji akiwa anafuraha Muda Mchache baada ya kutangazwa kuwa yeye ndiye mshindi.

Shirikisho la Kimataifa la Vyama vya Mpira wa Miguu (FIFA) limesema litaifungia Tanzania iwapo itabainika kuwa Serikali imekuwa ikiingilia shughuli za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).
FIFA imesema kumekuwa na shutuma kupitia taarifa mbalimbali za vyombo vya habari nchini kuwa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imeonesha nia ya kuingilia uendeshaji wa TFF.

PSQUARE WAANZISHA BIASHARA YA MAFUTA PIA


Meli zilizosheheni mafuta

WAMILIKI WA VYOMBO VYA UTANGAZAJI WAOMBA ANALOGIA IRUHUSIWE KWA MUDA.


Polisi Zanzibar yatoa taswira ya mchoro wa muuaji wa padri Evarist Mushi




Jeshi la polisi Zanzibar limetoa mchoro wa taswira ambayo inasadikiwa kuwa ndiye sura ya muuaji wa padri Evarist Mushi wa kanisa katoliki Zanzibar aliyeuwawa mwezi uliopita akiwa njiani


Monday, March 11, 2013

MWANAMAKUKA AWARD 2013 ILIVYOFANA


Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwahutubia wanawake na wageni waalikwa katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Mwanamakuka 2013, zilizofanyika sambamba na uksherehekea siku ya Wanawake Duniani, katika Ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam,  Machi 8, 2013.

Friday, March 8, 2013

WAZIRI WA UCHUKUZI DKT. HARRISON MWAKYEMBE AKUTANA NA WANACHAMA WA WAKALA WA FORODHA NA UONDOSHAJI SHEHENA TANZANIA (TAFFA)



Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe akisisitiza jambo kwa wanachama wa wakala wa  forodha na uondoshaji shehena Tanzania(TAFFA) leo Mchana wakati alipokutana nao katika ukumbi wa Karimjee.
Wananchama wa Wakala wa Forodha na Uondoshaji Shehena Tanzania (TAFFA), wakimsikiliza Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani), Wakati alipokuwatana nao leo mchana katika ukumbi wa Karimjeee. Waziri wa Uchukuzi amewaagiza wananchama hao kuhakikisha wanawaondoa mawakala ambao wanawaharibia sifa yao.

TASWIRA MJENGONI LEO MADE IN TANZANIA


Huu ni katika mpango mzima wa MADE IN TANZANIA! leo mjengoni watu wameripukaje? Shafii Dauda wa Sports Extra,Dina Marios wa Leo tena na mimi hapo! wa Pb team kwenye segment ya JJ360! picha fupi sio! kwa chini utaniona!

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA PILI WA MWAKA WA WADAU WA PSPF



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Ukumbi wa Jubilee Towers, kwa ajili ya kufungua rasmi Mkutano Mkuu wa pili wa Mwaka, wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), uliofanyika Machi 7, 2013 katika Ukumbi wa Jengo Golden Jubilee Towers, jijini Dar es Salaam

HAPPY WOMEN'S DAY


Leo ni siku yake kwanini umfanye ajute kuzaliwa mwanamke? NOOOOO DONT!

MTANGAZAJI ASHINDWA KUJIZUIA JUU YA MAKALIO

Ina semekana kwamba makalio ya wanamichezo iwe wa kike ama kiume yana mvuto! kutokana na mazoezi! so jamaa wa sports akaropokwa hilo na akatakiwa kua makini na hasa hasa katika vitu vya live kwani LIVE MEANS LIVE !

Thursday, March 7, 2013

SIKU TATU KABLA YA FAINALI MAALUM YA SHINDANO LA VIPAJI DAR LIVE , BODI YA UTALII TANZANIA KUWANOA WASHIRIKI FAINALI ZA TAIFA MISS UTALII TANZANIA 2012/13


Washiriki wa Miss Utalii tanzania wakiwa katika moja ya Makaburi ya zamani Kaole Bagamoyo

WAZIRI WA UCHUKUZI NA NAIBU WAKE WAFANYA ZIARA YA KUANGALIA MATARUMA YA RELI YALIYOIBIWA KWA KATIKA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI YALIYOTUNZWA KATIKA ENEO LA MIVINJENI, JIJINI DAR ES SALAAM



Waziri wa uchukuzi amatembelea yalipotunzwa mataruma yaliyoibwa

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL, AMALIZA ZIARA YAKE MKOA WA MARA AZINDUA MRADI WA UJENZI WA NYUMBA ZA WATUMISHI WA UMMA MUSOMA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Pombe Magufuli, Mkuu wa Mkoa wa Mara, Gabriel Tupa, wakifurahia kwa pamoja baada Makamu kuweka Jiwe la Msingi katika mradi wa ujenzi wa Nyumba za Watumishi wa Umma, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika  Machi 5, 2013 Wilaya ya Musoma, Mkoa wa Mara, wakati Makamu akiwa katika ziara yake ya siku mbili mkoani humo.

MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI (ABSALOM KIBANDA) APELEKWA AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU


Absalom Kibanda akiwa na mkewe ndani ya Ndege, Anjella Semaya, tayari kuanza safari ya kuelekea nchini Afrika ya Kusini kwa matibabu.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMJULIA HALI MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI ABSOLOM KIBANDA MUHIMBILI



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimjulia hali Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, ambaye pia ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Absolom Kibanda, aliyelazwa katika Wodi ya Moi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, baada ya kujeruhiwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wakati akiingia nyumbani kwake maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimjulia hali Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, ambaye pia ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Absolom Kibanda.

Wednesday, March 6, 2013

THE LETTER SENT BY GIRL, 11, WHO FEARED SHE BE CUT LIKE HER SISTER


Tunapoelekea kuadhimisha siku ya wanawake ulimwenguni! wapo watu ambao hata hawatamani kuisikia tarehe hiyo kila mwaka! kutokana na yanayo wasibu. ona hii , na huyu ni mmoja kati ya wengi ulimwenguni.utasoma barua yake chini inauma!


                                                Cry fo help

MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI APIGWA


                                                                     Nd. Absalom Kibanda

Tuesday, March 5, 2013

Mtoto wa miaka 7 aweka rekodi ya kupanda mlima kilimanjaro hadi kileleni


                                                      Mtoto Aryan Balaji (7)
 Mtoto Aryan Balaji (7), raia wa India amefanikiwa kuweka rekodi nyingine ya kufika kileleni mwa mlima Kilimanjaro, kwa kupitia barabara ya Lemosho iliyopo wilayani Siha na kushukia geti la Mweka.

MAKAMU WA RAIS AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI MARA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Ulinzi na Usalama, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa ndege wa Musoma, leo kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili katika mkoa huo. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Gabriel Tupa. 

Wabunge 47 wajiunga na Mafunzo JKT



NOT SURE HOW TRUE IS THIS, BUT NO HARM BE AWARE

Phone Fraud

CHICAGO BOARD OF EDUCATION OKS KINDERGARTEN SEX ED





TASWIRA YA UCHAGUZI MKUU NCHINI KENYA




Waziri Mkuu wa Kenya na mgombea urais  kwa tiketi ya chama cha Coalition for Reforms and Democracy (CORD), Raila Odinga akipiga kura yake kwenye kituo cha Kibera, mjini Nairobi jana. Wakenya wali piga kura lkatika uchaguzi mkuu kumpata rais mpya atakayerithi nafasi inayoachwa na Rais Mwai Kibaki aliyemaliza muda wake na ushindani mkali unaonekana kuwapo kati ya Odinga na Uhuru Kenyatta.

Monday, March 4, 2013

Mauaji siku ya kupiga kura Kenya


                                                         Mmoja wa wale waliojeruhiwa

Taarifa ambazo bado hazijathibitishwa zinasema kuwa watu 10, wakiwemo maafisa wa polisi wawili, wameuawa mjini Mombasa, Pwani ya Kenya. Tukio hilo lilitokea alfajiri, kuamkia leo wakenya wanapopiga kura.Hata hivyo polisi walithibitisha vifo vya maafisa wao wawili vilivyotokea wakati polisi walipowapiga risasi washambulizi waliokuwa wamejihami kwa mapanga. Lilikuwa shambulizi la kulipiza kisasi.

UCHAGUZI KENYA


                                  Wapiga kura tayari kwa foleni katika mtaa wa Kibera
                                                       Foleni ya watu mjini Mombasa
               Usalama ulidhibitiwa asubuhi na mapema wakati upigaji kura ulipoanza

Hii leo wakenya wanapiga kura katika uchaguzi wa kihistoria chini ya katiba mpya. Foleni tayari zimeanza kushuhudiwa katika vituo.Taarifa zinazohusianaKenyaKinyang'anyiro ni kikali kati ya Muungano wa Cord na Jubilee wa Raila Odinga na Uhuru Kenyatta.
Kwenye ukurasa huu tutakupasha matukio kila yanapojiri hadi upigaji kura utakapokamilika mwendo wa saa kumi na moja jioni.Unaweza kututumia maoni yako kuhusu uchaguzi kwenye ukurasa wetu wa Bofya facebook

Friday, March 1, 2013

Death of man dragged by police van sparks outrage in South Africa


Johannesburg



A man, struggling to get away, is surrounded by South African police in the middle of a street as a large crowd looks on. The officers pull him over to a police van and handcuff his hands, over his head, to the back of the vehicle as he sits on the ground.
Soon, as some in the crowd scream, the van begins to move. It slowly picks up speed. The helpless man in a red T-shirt is dragged along the road.
Soon, two officers lift him up by the legs, apparently to avoid dragging -- but the police van seems to speed up, and the man's legs fall to the ground, He is dragged hundreds of feet.