
Amiri Jeshi Mkuu,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti cha kuhitimu
mafunzo ya muda mfupi kwa viongozi mbunge wa viti maalum Ester Bulaya jana katika
kambi ya RUVU JKT.Rais Kikwete amefunga rasmi mafunzi hayo leo yaliyofanyika kwa
wiki tatu.

Wabunge Halima Mdee na Ester Bulaya pamoja na wenzao wakila kiapo wakati wa
kuhitimu mafunzo ya muda mfupi yaliyofanyika katika kambi ya jeshi la Kujenga
Taifa Ruvu JKT huko kibaha Mkoani Pwani .

Wa kwanza katika mstari wa kushoto ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe
anayefuata ni Mbunge wa Kinondoni Iddi Azani, wakiwa kwenye Paredi ya kumaliza
mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT Kikosi cha 835 Mgambo JKT kambi iliyopo
katika Kata ya Mgambo wilayani Handeni Mkoa wa Tanga.

Wa kwanza kushoto ni Mbunge wa Kinondoni Iddi Azani pamoja na Mbunge wa Kigoma
Kaskazini, ZItto Kabwe, wakihitimu mafunzo ya JKT .

Mbunge Viti maalum Raya Khamis , akiapa wakati wa kumaliza mafunzo
ya JKT katika Kambi ya 835 ya Mgambo JKT, iliyopo katika Tarafa ya Mzundu
wilayani Handeni.
No comments:
Post a Comment