
Washiriki wa Miss Utalii tanzania wakiwa katika moja ya Makaburi ya zamani Kaole Bagamoyo

Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012-13 wakiwa katika mazoezi ya Nguvu ndani ya ukumbi wa Dar

Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012-13 wakiwa katika picha ya pamoja na Mmiliki wa Mtwana Catering Service ambaye ndiye anaye walisha Warembo hao

Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 201213 wakitoa Burudani ya Nguvu katika Jukwaa la Sanaa (BASATA).

Washiriki wa Miss Utalii Tanzania wakiwa Katika Picha ya Pamoja Baada ya kumaliza Mazoezi yao Katika Ukumbi wa Dar Live.
No comments:
Post a Comment