


Dar es Salaam -- Habari zinaeleza kuwa mvua kubwa iliyoanza kunyesha majira ya saa nne jana asubuhi imesababisha kifo cha mtu mmoja baada kuzolewa na maji ya mvua hiyo huko Tabata Relini, Ilala.
Blogu ya Josephat Lukaza nayo ina taarifa kuwepo kwa taharuki miongoni mwa wakazi wa Kimara-Kilungure kutokana na daraja la eneo hilo kufunikwa kwa maji ya mvua.
No comments:
Post a Comment