WAZIRI WA UCHUKUZI AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA WA TANZANIA NA UJUMBE WAKE OFISINI KWAKE
Waziri wa Serikali ya Uingereza anaeshughulika
na Maswala ya Afrika, Bw. Mark Simmonds akifafanua jambo kwa Waziri wa
Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwkyembe(Mwenye suti Nyeusi), wakati alipomtembelea
waziri Mwakyembe ofisini kwake mwishoni mwa wiki. Kulia kwa Waziri Mwakyembe ni
Balozi wa Uingereza Tanzania, Dianna Melsone.
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe(mwenye
suti nyeusi) akimuonyesha Waziri wa Uingereza anaeshughulika na Maswala ya Afrika,
Bw. Mark Simmonds Miradi mbali mbali inayofadhiliwa na Serikali ya Uingereza
kwa hapa Tanzania. Waziri Mwakyembe alikutana na Waziri huyo ofisni kwake kujadiliana
kuhusu Usafiri wa Anga, Miradi ya Bandari na Miradi mbalimbali ya Reli.
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison
Mwakyembe,akisisitiza jambo kwa Waziri
wa Uingereza anaeshughulika na Maswala ya Afrika, Bw. Mark Simmonds(kushoto kwa
Waziri Mwakyembe),
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe (wa
pili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Uingereza anaeshughulika na Maswala ya Afrika, Bw. Mark
Simmonds(mwenye tai ya blue bahari), Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Dianna
Melsone(kushoto kwa Waziri Mwakyembe) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi,
Mhandisi Omar Chambo(Kulia kwa Waziri Mark).
Waziri wa Uchukuzi,Dkt. Harrison Mwakyembe akishikana
mikono na Waziri wa Uingereza
anaeshughulika na Maswala ya Afrika, Bw. Mark Simmonds,
No comments:
Post a Comment