
Sanduku a.k.a jeneza lenye mwili wa Albert MangweaWadau wa Africa Kusini wakiwa katika harakati za kuuaga Mwili wa Albert Mangwea jana katika jiji la Johannesburg, kabla haujasafirishwa kuletwa Dar-Es-Salaam kwa kuagwa tena na hatimaye kupumzishwa milele, tusubiri ratiba zaidi.
Mwili ukiagwa, na unamuona Millard Ayo wa Cloudsfm akichukua matukio
Watanzania waishio South Africa walioshiriki katika kuuaga mwili wa aliyekua Albert Mangwea
Rutha Maximillian a.k.a Bushoke naye alikuwepo
No comments:
Post a Comment