

Ni uchungu mkubwa! walikwenda wawili, leo hii mmoja hajimudu mwingine amebaki na bumbuwazi.

Mwili wa Albert Mangweha, ukiwa kwenye uwanja wa jamhuri mjini Morogoro kwaajili ya kuwapafursa waombolezaji kuuaga

Umati wa watu ulofika kushuhudia Ngweha akiagwa.



Watoto wa mji kasoro bahari wakisubiri fursa ya kwenda kuuaga mwili wa mpendwa wao Albert.

Baada ya zoezi la kuaga, safari ya kuelekea katika nyumba yake ya milele ilianza!

Safari ya mwisho ya Albert Mangweha ikikamilishwa hapa duniani


Amini usiamini hatma ya mwana wa Adam ndo hiyo.
(PICHA ZOTE NA DUSTAN SHEKIDELE NA MUSA MATEJA / GPL)
No comments:
Post a Comment