
Mariana Ong’ango Ololo akioneshwa vitu abaini ikiwa ni njia shirikishi ya kujifunza na wanafunzi wenziwe darasani.

Mariana akishiriki katika mchezo wa mpira wa miguu.

Mariana akisaidiwa kusoma, na kufuatilia maelekezo

Mariana akifikiri jambo

Kama zamani mwalimu shrti akushikishe penseli ili ujue kuumba herufi! Mariana naye vivyo hivyo!
M

Mariana baada ya masomo huenda shambani kwake kupalilia shamba lake la mahindi na mazao mengine ya chakula.

Mariana akipongezwa kwa kujiunga na masomo , licha ya umri wake mkubwa.
No comments:
Post a Comment