Afisa uhusiano wa Clouds Media Group Simon Simalenga akihakiki mawasiliano kua mh Membe atafika kama ilivyopangwa
Afisa uhusiano wa Clouds Media Group Simon Simalenga. akimkaribisha mh waziri wa mambo ya nchi za nje na ushirikiano wa kimataifa Bernad Membe, asubuhii hii hapa mjengoni.
Mheshimiwa Membe ikumbukwe kwamba amekuja mjengoni na special kwa POWERBREAKFAST BRAND kuzungumzia:-
i) Ujio wa Rais wa Marekani Barack Omabama
ii) Ujio wa wake za maraism 14 Afrika kupitia taasisi ya George Bush ambapo mke mama Raula Bush ataongoza mkutano huo wa wake za marais
iii)Smart Partnership Dialogue ambayo inahusisha ujio wa marais wa Africa ambapo safari hii watazungumzia matumizi ya technologia hasa kwenye kilimo
iv)Suala la maji litajadiliwa pia.
No comments:
Post a Comment