Huu ndio Ujumbe wa Barnaba Boy Classic kwa
friends wake wa BBM
"Nasikitika sana san jamani siwez eleza lakin naumia naumia naumia san sana sana. Jamani.. Asubu ya leo. Kwangu imekuwa mbaya mbaya. Sema ndo siwez laumu ila mama angu mzazi alieniza amefariki. Dunia kwa PRESHA. Jamani naumia sana sana... Jamani. natamani aamke aniage kidogo ndo aondoke naumia jamani.

Mama angu MARIA ARBERT. Jamani mama angu naumia.. Uwiiiii jamani na namzika
mama angu kesho . Msiba upo kigogo kwa mama angu na baba angu na anazikwa
kwenye makabul ya MBURAHATi. Amka mama angu tuongee kidogo. Uwiii. Naumia.
Jamani nani wa kula nae jasho langu sasa... Naumia. Kwa maelezo.@Mungu akulaze
mahali pema mama angu. Umefanya niimbe na niwe ivi leo. Aupo tena jamani.
Nitakupenda milele. Daima."

BARNABA Akipelekwa
kuaga

BARNABA Akiaga

BARNABA Baada ya kuaga

BARNABA Akisaidiwa kuweka
udongo kaburini

BARNABA baada ya kuweka udongo kaburini alipoteza
nguvu kabisa na kuzimia

Baada ya kuzinduka
ilibidi akimbizwe Hospitali, hakua na nguvu kabisa.
Mume wa marehemu
akisimika msalaba kaburini
Tunamuomba Mwenyezi
Mungu amlaze pema peponi Mama Barnaba.
No comments:
Post a Comment