Sunday, July 7, 2013

LEO NI SIKU YA BWANA



 Niliamua kujiwekea kumbukumbu kwamba nlikutana nao na kuzungumza nao, na kushow love.


Kutoka kushoto ni Chiza Musenge na Emanuel Tabena leo walivyoulambia na ndivyo watakavyoonekana katika tamasha la matumaini.
DAR-ES-SALAAM.
JINA HILI LA 24 Elders no go beg linawakilisha wale wazee 24 walioko kwenye maandiko matakatifu, katika kitabu cha ufunuo wazee hao sifa yao kuu ni kumuabudu Mungu usiku na mchana bila kukoma!. Na Tanzania katika TAMASHA LA MATUMAINI vijana hawa wamekuja wawili Chiza Musenge na Emanuel Tabena hawa wawili ni raia wa Congo na makaazi yao ni  nchini Kenya.Ambako wanaendesha shughuli zao za kumtukuza Mungu kupitia gospel

Vijana  hawa waliamua kuimba kwa lafidhi ya Nigeria na wanigeria hupenda kufupisha maneno ndo wakauita wimbo huu NO GO BEG Lakini wimbo huo huitwa hivi NO GO BEGGING! Wimbo ambao unapigwa mahala popote, kanisani,redioni na kwenye vipindi maalumu vya dini! Wako vizuri hawa!

KAMA UMEWAPENDA BARIKIWA! PATA KAZI ZAO 24ELDERS
+254715434761,+254718372542 AU EMMAUELTABENA@GMAIL.COM
TWENZETU



No comments:

Post a Comment