PICHA MBALIMBALI ZA RAIS BARACK OBAMA IN TANZANIA
Hamjambo wajameni?
Nyumbani ni nyumbani mwana wa Africa ni Africa tu! mdundo lazima ukuguse,cheza mwana
Obama rais wa United State of America akijiachia na ngoma za bongo
Mgeni mwenyeji wakisalimiana
Picha ya pamoja, japokua ni out of focus, umbali na mpiga picha ali shake
Mazungumzo ya marais wawili wa Tanzania na Marekani
No comments:
Post a Comment