
Hapa ni mbezi kanisani kwa Yusuphu, majira ya saa kumi na moja kasoro ndipo nnlipokutana na Wiseman Mwaluvanda Mwakyusa,alikua nyapinyapi'

Hoi magoti yameviiimba

Viatu vimekwisha visiginoni, miguu ilikua inawaka moto.akisimama alikua anayumba mbaya

Swagger hakuna, no tabasamu yaani ukimsimamamisha anaona unamchelewesha.

Pamoja na kukatishwa tamaa kwa maneno na ujumbe mfupi, safari iliendelea MBEYA TO DAR

Hapa na pale alikua akipewa mkono na hata chochote kwa safari

watu wali show love kwa kupiga naye picha hapa na pale njiani

Wasamaria wema walikua wanampa walau kitu kidogo kwa mahitaji ya njiani, hapo ni Mbezi Louis

Nyuma alicha gumzo yeye, huyooo anaendelea na safari mdogomdogo

Watu hawaamini macho yao! kweli? si kweli?

Kiukweli Wiseman alizua gumzo jiji la La maraha Daslam

Jimmy Francis wa Pb team ambaye ni producer akiwa ameshikilia mic ya clouds tv alipokua akihojiwa Wiseman mbele ya daraja la mtombezi

Ilibidi tumsindikize Wiseman kituo cha afya BOCHI MEDICAL CENTER kwa Msuguri ili apate huduma ya kwanza na huyu ni Dk Matemu akimpa huduma ya kwanza na mapumziko mafupi, asante sana Bosch

Juma Katunda wa Clouds Tv akichukua matukio hatua kwa hatua

Sehemu zote za kiungo kutoka nyayoni hadi mapajani vilivimba

ilibidi kumchua hapa na pale ili kumpa relief ya maumivu

Maumivu yalikua makali mno! lakini ilibidi

Huu ndo muonekano wa hospitali ya Bochi Medical Center, nilifurahishwa sana na utayari na huduma yao, kiasi cha kumsaidia Wiseman arejee barabrani

JUMA KATUNDA NA Juma pilot wetu wakiliangalia jengo safi la hospitali

Hapa ni baada ya huduma ya kwanza, na kuruhusiwa kuendelea na safari, basi akavaa viatu vyake

Nikawapa shavu washkaji zangu Jimmy,Wizeman,Juma na Juma

Juma akaona kiwingu kilizidi akaomba ya peke yake hiyo bababaaa!

Safari ikaendelea, hapa ni kituo cha korogwe-kimara

Wadau waliokua katika chombo cha usafiri walishindwa kujizuia hivyo wakampa walau kitu kidogo

Phillip Mwihava alikua katika pb on Saturday tukamvamia alikua more exited!

Picha zilikua zinagombewa mno! basi wakati napiga picha nika sheck.
No comments:
Post a Comment