Viongozi
mbalimbali akiwemo Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Gharib Bilal,
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadick na kamanda wa polisi kanda
maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova walianguka na Helikopta asubuhi ya leo
kwenye uwanja wa ndege Dar es Salaam
Helikopta
hiyo ilianguka wakati ikipaa kuwapeleka viongozi hao kwenye maeneo tofauti
yaliyoathirika na mvua zinazoendelea kunyesha lakini hata hivyo hakuna
aliyefariki katika ajali hiyo.
No comments:
Post a Comment