Showing posts with label MICHEZO. Show all posts
Showing posts with label MICHEZO. Show all posts

Friday, June 13, 2014

WORLD CUP BRAZIL 2014/ KOMBE LA DUNIA BRAZIL 2014




Brazilian pop singer Cláudia Leitte,JL na Pitbull walifanya show moja kali mno ambapo JL alitupa shida na stress zake nyuma na kurusha mikono juu, akatisha mno na kivazi chake.

Monday, June 2, 2014

DONALD STERLING NAYE AISHITAKI NBA



Donald Sterling amefungua kesi akiwashitaki  NBA, na huku akitaka alipwe fidia ya Dola Bilioni moja. Kwa madai kwamba kuzuiwa kwake kuendelea kuwa mmiliki wa TEAM ni kunyume na katiba ya NBA.. Pia madai mengine aliyoyafungua ni kupinga kulipishwa FINE ya Dola milioni mbili na nusu kwa UBAGUZI..!!

Thursday, May 29, 2014

SERENA NA VENUS NJE YA FRENCH OPEN



Bingwa mtetezi wa French Open upande wa wanawake Serena Williams ameyaaga mashindano hayo, baada ya kunyamazishwa na Garbine Muguruza wa Uhispania kwa seti 6-2, 6-2.

Wednesday, March 26, 2014

MAN U WAGEUZWA MDEBWEDO NA MAN CITY KWWENYE UWANJA WAO.....WACHAPWA HATRICK.




MAN U HOI KWA CITY
Manchester United imepokea kipigo cha bao 3-0 kwa Manchester City katika mechi ya Ligi Kuu England iliyopigwa Old Trafford, wafungaji Yaya, Dzeko (2)! 

Monday, March 24, 2014

REAL MADRID VS BARCELONA 23 MARCH 2014 MATOKEO YOTE YAPO HAPA



 REAL MADRID 3-4 BARCELONA, MESSI AONESHA UBABE...APIGA HAT-TRICK


Mechi hiyo kali ya La Liga imechezwa katika Uwanja wa Santiago Bernabéu, Madrid nchini Hispania.


MSHAMBULIAJI mahiri wa Barcelona, Lionel Messi,  amepeleka vilio kwa mashabiki na wapenzi wa Real Madrid baada ya kufunga 'hat-trick' wakati timu yake ikishinda bao 4-3 dhidi ya mahasimu wao Real Madrid.

Wednesday, February 26, 2014

Monday, February 24, 2014

UHURU MARATHON 2014 KUZINDULIWA KIJINI BUTIAMA




Mratibu wa Mbio za Uhuru Marathon, Innocent Melleck akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati akizungumzia maandalizi ya uzinduzi wa Mbio hizo kwa Mwaka 2014,ambapo mwaka huu Mbio hizo zitazinduliwa kwenye Kijiji cha Butiama,Mkoani Mara.

Tuesday, February 11, 2014

EXCLUSIVE INTERVIEW: BRAZIL TO HOST WORLD CUP AGAIN AFTER 64 YEARS!

Brazil is calling! Don’t miss the World Cup and Copacabana beach !
On Wednesday last week, MOblog hosted an exclusive Q and A interview with the Brazilian Ambassador to Tanzania, Hon. Francisco Luz, ahead of the upcoming World Cup Tournament. Read On;

Friday, February 7, 2014

NO USTAARABU HAPA!




Mambo ya uwanja wa taifa wakati wa mechi ya yanga na Mbeya city!!!! Tumefikia huku?

Friday, January 31, 2014

POLL: FORTY PERCENT WOULD STEER KIDS AWAY FROM FOOTBALL




A young football player lines up on defense during a 6th grade youth football game in Richardson, Texas, in 2010. Some of the players were using a new type of football helmet designed to reduce the risk of concussions.

Thursday, January 30, 2014

KING CLASS MAWE ASAINI MKATABA WA KUPAMBANA NA COSMAS CHEKA




BONDIA bora wa mwaka 2013,2014 katika uzito wa  KG 63  Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ (pichani) amesaini mkataba wa kupambana na Cosmas Cheka Februari 8 mwaka huu katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam.

Monday, January 6, 2014

SOGA SOGAYO MONDAY HII





EUSEBIO AFARIKI DUNIA



Bingwa wa zamani katika soka ya Ureno,  Eusebio da Silva Ferreira, amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 71. Chui Mweusi, kama ulivyokuwa umaarufu wake, alizaliwa nchini Msumbiji na akawa maarufu nchini Ureno, ambako anatambuliwa kama shujaa wa soka.