Tuesday, October 30, 2012

HONGERA ARNOLD KAYANDA!

KWANZA NAOMBA RADHI KWA WADAU WOTE WA BLOGG HII, KWAKUCHELEWA KUTUPIA PICHA ZA HARUSI YA KAKA YANGU ARNOLD KAYANDA, KWASABABU JUMAPILI NILIFANYA SAFARI DAR TO SHY TOWN SO NIKAFIKA JIONI SANA NIKIWA HOI, JANA JUMATATU NIKABANWA HATARI, SO HII NI ALFAJIRI WALAU NITEKELEZE WAJIBU NA NIMTENDEE HAKI KAKA NA WIFI YANGU ANITHA RUHINDA! NA HIZINDIZO PICHA NLIZOPATA KWA UCHACHE. ASANTE


           
Hapajicho ni kwa bi harusi popote uendapo na kiukweli wifi ali shine muno! safi sana ndo maana nikaanza naye.mrembo,mchesi,natural hakika kaka kapata jiko hahaha lol.

Maharusi wakikata keki yenye umbo la jahazi kipindi anachofanyia kazi bwa harusi Arnold lakini pia keki zingine zina maumbo ya vikapu ya asili maarufu sana huko Rwanda kama vikapu vya siri! hongera sana Angela Msangi mwandishi habari aliyegeukia ujasiriamali wa keki, kazi zake ni nzuri sana.

                                   Kiukweli wakina kaka walipendeza mno! ndivyo walivyovaa.


                                     dada nao maashallah! walitupiamo! hadi raha.

wapambe wa shughuli waliingia wawili wawili hawa ni Muli B na Bi Jaqline Masanja wote kutoka Clouds.

Mzee wa Amplifaya Millard Ayo na bintin ambaye aliwahi kua miss katika tasnia ya ulimbwende hapa bongo! mashalaah mmependeza sana.

Naomba niombe radhi binti aliyetangulia jina lake sijalikariri shes beutifully na wa mbele ni kitoto chaanza tambaa Antu Mandoza, napenda anavyoukumbatia uafrica! shes natural! uh asante Antu kwa hilo i really like it!

Kutoka kushoto Clara Manyinya,Godliver na mheshimiwa sofia Kessy wote wa Clouds Media Group.

Da Juddy wa kutisha! akiwa na Clara Manyinya wote wa Mjengoni mawinguni.

Mwenye bega wazi ni shangaziye bi harusi wanaofuata ni wazazi , waliobaki ni nduguze Anitha Ruhinda

NAOMBA NIISHI HAPA KWA ASUBUHI HII NTAZIMALIZIA CHACHE ZILIZOBAKI JIONI, NSHACHELEWA CLASS/

2 comments:

  1. waooooooooo was xo beautiful i like it. ilike ze way ma maids wamevaa was xo mwaaaaah. bi harusi kapendezaaaaa huyoooo!!!!!.

    ReplyDelete
  2. Imenoga ile mbaya japo sikuwepo,Jamaa kama marubani au manaodha, wow,wow,waaaaooo.

    ReplyDelete