Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati
akifungua mkutano wa kwanza wa Umoja wa Vyuo Vikuu unaoshirikisha
pia Kamisheni ya Biashara ya Afrika Mashariki. Mkutano huo unafanyika kwa
siku tatu jijini Arusha na unajumuisha wakuu na wawakilishi wa vyuo mbalimbali
vya elimu ya juu katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano wa kwanza wa Umoja wa Vyuo
Vikuu unaoshirikisha pia Kamisheni ya Biashara ya Afrika
Mashariki. Mkutano huo unafanyika kwa siku tatu jijini Arusha na
unajumuisha wakuu na wawakilishi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu
katika ukanda wa Afrika Mashariki
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza
maelezo kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo cha Mtakatifu Augustine, Dkt.
Charles Kitima, wakati alipokuwa akitembelea kukagua mabanda ya maonyesho
baada ya kufungua mkutano wa kwanza wa Umoja wa Vyuo Vikuu unaoshirikisha
pia Kamisheni ya Biashara ya Afrika Mashariki. Mkutano huo unafanyika kwa
siku tatu jijini Arusha na unajumuisha wakuu na wawakilishi wa
vyuo mbalimbali vya elimu ya juu katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta
jambo na Mwenyekiti wa Umoja wa Mawaziri wa Afrika Mashariki, Musa Sirima,
wakati wa uzinduzi wa mkutano wa kwanza wa Umoja wa Vyuo Vikuu
unaoshirikisha pia Kamisheni ya Biashara ya Afrika Mashariki. Mkutano huo
unafanyika kwa siku tatu jijini Arusha na unajumuisha wakuu na wawakilishi
wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu katika ukanda wa Afrika Mashariki
No comments:
Post a Comment