mkuu wa
jeshi la polisi saidi mwema akiwasili kwenye maziko ya kamanda liberatus barlow,kijijini kwa
marehemu kilema kyou,wilaya ya moshi vijijini,mkoa wa kilimanjaro
Naibu waziri
wa mambo ya ndani ya nchi Pereira Silima, akiwasili mazikoni ,kilema
kyou,wilaya ya moshi vijijini,mkoa wa kilimanjaro.
jeneza
lililokua na mwili wa aliyekua kamanda wa polisi mkoa wa mwanza,liberatus
barlow.
mkuu wa jeshi
la polisi nchini inspector jenerali saidi mwema,akitoa heshima zake za mwisho.
Mkuu wa mkoa
wa kilimanjaro leonidas gama , naye akielekea mazikoni kutoa heshima zake.
Brass band
ya jeshi la polisi nayo ilikuwepo.ili kuitimiza itifaki
Mwili wa
aliyekua kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa mwanza,liberatus barlow ukiingizwa
kwenye nyumba yake ya milele.
Kutupia
udongo ni ishara ya kwaheri na mpendwa wako,inspekto generaly wa jeshi la
polisi Said Mwema akitupia udongo.
Naibu waziri wa mambo ya ndani ya
nchi Pereira Silima, akiweka shada la maua juu ya kaburi la aliyekua Liberatus
Barlow.
Mkuu wa jeshi
la polisi nchini inspector jenerali Saidi Mwema,akiweka shada la maua juu ya
kaburi la aliyekua Liberatus Barlow.
No comments:
Post a Comment