Tuesday, May 8, 2012

Francois Hollande aamua kuanza kazi kabla ya ofisi


                                              Rais wa Ufaransa Francois Hollande

Raisi mteule wa Ufaransa Francois Hollande ameanza rasmi kazi ya kuunda serikali mpya baada ya kupata ushindi katika uchaguzi  wa uraisi.
lakini cha ajabu alipowasili kwenye makao makuu ya chama chake alikutana na umati wa wafuasi wake na kujinasibu kwamba hana nuda wa kupoteza wala kupumzika hivyo kazi zinaanza haraka hata kaka hajakabidhiwa madaraka.
Hollande atakua ametisha kwani anajua kujali maslahi ya umma ulompa imani ya kumuweka madarakani.



 Nasi Tanzania tunasubiri mawaziri na manaibu waziri walio apishwa jana kuanza kazi mara moja hata kama wale wanaowaachia ofisi hawajatoa vinavyo wahusu na kukabidhi ofisi.

No comments:

Post a Comment