Sunday, May 13, 2012

Happy Mothers Day




sina uwezo wa kueleza maneno mengi, juu ya upendo wangu kwa mama! ninachoweza kusema nakupenda mama hata kama umetutoka miaka kadhaa iliyopita! ndani ya moyo wangu bado unaishi mama! i wish ungekua hai leotusherehekee pamoja mimi nawe mama, lakini kwasababu mama ni mama! nafarijika nikiwaona mama wa wenzangu nafeel uwepo wako mama! I LOVE YOU MAMMY MMWAAAA

No comments:

Post a Comment