Friday, May 18, 2012

Bob Marle Day katika Viwanja vya Posta Hapa Dar-es-Salaam






kesho ni siku ya kumbukizi ya kifo cha Bob Nester Marley so hapa nyumbani Tanzania kwa mwaka wa saba mfululizo tumekua tukimkumbuka kwa namna ya pekee , hivyo basii, kesho kutakua na band 4, ambazo ni Ras Inno,Ras Mizizi,Jhikoman na Worriers kutoka Arusha ambao walitwaa tuzo ya best Reggae band 2012 katika Tanzania Music Awards.
kutakua na wasanii wa kizazi kipya cha reggae waitwao Susu man,Jah Son,Dabo,Chibwa,Ras Six hao wa kizazi kipya,ukichanganya band na wasanii wa kizazi kipya cha reggae kutakua na wasanii zaidi ya 55 back stage.

pia kutakua na ragga dancers ambao wanafanya mazoezi yao pale THT, wapenzi wote wa Mpira kesho finaly ya Champions legue kati ya Chelsea na Bayern Munich ambayo itaoneshwa live katika big screens katika viwanja vya posta kijitonyama, ulinzi ni wa hali ya juu, parking za kutosha kwa magari zaidi ya mia moja, isseu nzima inaanza saa mbili usiku mpaka majogoo kiingilio ni tshs 5000/- plenty of food and drinks wadhamini Kilimanjaro premium Lager,Primetime Promotions,Cosmo Entertainment,na Clouds Fm.

No comments:

Post a Comment