Japokua sikua ya mama duniani imeshapita! lakini katika pita pita zangu nikakumbana na hii picha! kiukweli imenigusa kutokana na huyo mzazi kukamata miguu ya mtoto wake iubunifu zaidi ili ku show love kwa mtoto wake huyo! isee nimeipenda! kwanza inaonesha mikono imeishika miguu kwa mahaba na utuvu , lakini sio hilo lililonivuta! la hasha bali ni alama ya love ilojichomoza hapo kati! dah! niiice picture.
No comments:
Post a Comment