Mkutano wa wawakilishi wa jamii za kiasili kote ulimwenguni, umemalizika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa New York. Mkutano huo ambao umekuwa ukifanyika chini ya kamati ya kudumu ya Umoja wa Mataifa kuhusu maswala ya kiasili, umezingatia maswala ya haki za bindamu na mazingira, elimu, utamaduni, maendeleo ya kijamii na uchumi, pamoja na afya na jinsia.
No comments:
Post a Comment