leo ndo Friday a.k.a furahi Day ila nisomee bango hapo juu nimeliweka kwa ajili yako maana watu huwa wanaumwa kila Jumatatu hawaji ma ofisini kwa kuigeuza Ijumaa ni jumatatu ama jumatatu Kua ni sehemu ya mapumziko baada ya bata ndeefu! tazama wengine wafanyavyo ijumaa!
umeona eeeh picha ya mtandaoni
na kisha hapo jumatatu? hali huwaje maofisini?
hahahahahahaha kazi kumbe tamu eeeeh! basi soma hapo chini nakukumbusha tu! usinichukie mwayego
Tafakari! haya week end njema.
No comments:
Post a Comment