Monday, May 21, 2012

will Smith akerwa na Busu la Tv Presenter amlamba kibao

Baada ya Will Smith kumuunga mkono Rais wa Marekani Barack Obama kuhusiana na ndoa za jinsia moja amejikuta akimtandika kibao mwandishi wa habari aliyekuwa anajaribu kumbusu mdomoni wakati alipokuwa akizindua filamu yake ya Men In Black 3 wiki iliyopita nchini Urusi.



Will mwanzoni alihisi kama paparazzi huyo alikuwa na nia ya kumkumbatia lakini alipoanza kumbusu mashavuni na kujaribu kumpiga denda ilibidi amsukume na kumtandika kibao


will akaona isiwe taabu, unataka kuhakikisha nini hapa? ala!



akatumbuiza kwa kibao ambacho Will hakuridhika ,kwani aliona hakitoshi



No comments:

Post a Comment