Friday, May 18, 2012

Sing Along Friday







si vibaya ijumaa hii tena ukaweka matatizo chini na kutupa mikono juu, matatizo ni sehemu ya maisha na majaribu hayana budi kuja. Mungu yu Mwema atajitetea na zaidi sana milele yeye ndiye mshindaji peke yake!  BRAVO MY DEAR LORD! sifa ,utukufu na shukrani ni kwako. amina milele.
tupate vionjo vya hapa bongo karibu, ENJOY

No comments:

Post a Comment