Willy Smith
juzi kazi willy Smith alibusiwa na tv Presenter na yeye Willy akamtumbuiza kwa kofi! naamini unakumbuka au siyo? so jamaa ameomba radhi na kuahidi kutorudia kumbusu na badala ya akikutana naye atamsalimia kwa mkono tu
Will Smith akifafanua namna tukio lilivyotokea na alikua akihojiwa na Mr Letterman
na hapo chini jamaa naye anafunguka juu ya tukio hilo.
No comments:
Post a Comment