Will Smith
huyu jamaa napenda kazi zake na kurithisa kipaji kwa wanawe mapemaaa! ila kikubwa ambacho nimekuja kugundua mshakji ana talent ya hali ya juu sana in short hafi njaa! anaweza kufanya chochote na akaishi, leo nakuletea kiduchu michezo anayoimudu nje ya ulingo wa filamu!
urefu wake unamruhusu kucheza basketball na hapo ana dank , na kumpa raha mchezaji ngumi za uzito wa juu Anthony Josha Willy alikwenda kutembelea kituo cha mazoezi cha Ethos Gym
baada ya kudank sasa anauandaa analenga analenga! uso ukiwa umevaa tabasamu,safi michezo ni afya na michezo huleta furaha,unapaswa ku enjoy.
sasa ni wakati wa kuutupia! twendeee
kama anapewa maelezo hivi, eh unasema? au tuhamie kwingine?
usinipimie kabisa mshkaji wangu, kama masumbwi nimo na hapa ana angalia pa kutupia ngumi hahaha
anajua namna ya kusimama na kupanga ngumi,kiukweli anajua anachofanya
hapa sasa! kuti lilitokea wapi? na mbona unaruka pembeni Willy? unge ruka kati kama wenyewe wafanyavyo! twendeeeee
wow sasa hapo sawaaaa
anaona utaaaaaaamu! hahaha
willy akiwa na timu ya watakaochuana katika michezo ya Olimpic
baada ya kukitembelea kituo cha mazoezi cha Ethos Gym akarudi mzigoni na hao hapo ni mastar wenzie , Alice Eve, Emma Thompson na Josh Brolin wakiwa na Director wao Barry Sonnenfeld wakati wa picha ya pamoja ya movie ijayo ya Men In Black 3..
No comments:
Post a Comment