Friday, May 11, 2012

Jamaa Mwenye Mapenzi na Kuuza Sura lol


Jamaa anaitwa Philip Mwihava, yupo Clouds Fm kitengo cha Newsroom, huwa ana ongoza power breakfast on sato, lakini zaidi sana! huwa ana hakikisha Juma Jogoo 360 ina kwenda hewani, hivyo aliponitaka nimuwekee picha yake nikaona eh asije akanibania bureeeee! lol hahahahaha. ah baba Justin weeee! uza sura baba


ninaposema jamaa anapenda kuuza sura si umeona? halafu jamaa kama wanafanana! eh hebu chek ila huyo dogo kulia hana dimpoz kwa poz! ah hahahahaha , lol! leo nimeamka na picha tu sijui kwanini!

No comments:

Post a Comment