Host ndo huyo naamini mwamfahamu kupitia thamthilia ya Isidingo The Need Samuel L. Jackson
Tuzo za BET zaja na zitakua mwezi July 1, jijini Los Angeles nchini Marekani.wafuatao watachuana kuwania tuzo kama mtiririko huo hapo chini unavyo ainisha.
Best Female R&B Artist:
Marsha Ambrosius
Beyoncé
Mary J. Blige
Melanie Fiona
Rihanna
Bruno Mars
Miguel
Trey Songz
Usher
Best Group:Bad Meets Evil
Diddy-Dirty Money
Maybach Music Group
Mindless Behavior
The Throne (Jay-Z & Kanye West)
Best Male Hip-Hop Artist:Big Sean
Drake
J. Cole
Lil Wayne
Rick Ross
Young Jeezy
Best Female Hip-Hop Artist:
Diamond
Nicki Minaj
Brianna Perry
Trina
Best International Act: UK:
Estelle
Labrinth
Emeli Sandé
Sway
Wretch 32
Best New Artist:A$AP Rocky
Big Sean
Diggy
Future
Meek Mill
Video of the Year:Beyoncé - 'Countdown'
Beyoncé - 'Love On Top'
The Throne (Jay-Z & Kanye West) - 'N***as in Paris'
The Throne (Jay-Z & Kanye West) featuring Otis Redding - 'Otis'?- Usher - 'Climax'
Viewers' Choice Award:
Beyoncé - 'Love on Top'
Chris Brown - 'Turn Up the Music'
Drake featuring Lil Wayne & Tyga - 'The Motto'
Mindless Behavior - 'Hello'
The Throne (Jay-Z & Kanye West) featuring Otis Redding - 'Otis'
Wale featuring Miguel - 'Lotus Flower Bomb'
Best International Act: Africa
Camp Mulla (Kenya)
Ice Prince (Nigeria)
Lira (South Africa)
Mokobe (Mali)
Sarkodie (Ghana)
Wizkid (Nigeria)
Best Collaboration:
Beyoncé featuring J. Cole - 'Party'
Big Sean featuring Kanye West & Roscoe Dash - 'Marvin & Chardonnay'
DJ Khaled featuring Drake - Rick Ross & Lil Wayne - 'I'm On One'
Drake featuring Lil Wayne & Tyga - 'The Motto'
The Throne (Jay-Z & Kanye West) featuring Otis Redding - 'Otis'
Wale featuring Miguel - 'Lotus Flower Bomb'
Beyonce
bibi huyo hapo juu ameingia katika category 6 tofauti tofauti
Kanye West
yeye amekua nomineted mara 7
Chris Brown
anawania tuzo tatu ikiwemo ya Best Male RnB Artist na ataburudisha katika sherehe hiyo ya utolewaji wa tuzo za BET
mabibi hapo juu wenye vibweka karibu sawa wanawania tuzo moja category tofauti
Big Sean maetwaa tuzo 2 ikiwemo ya Best New Artist
tusubiri kuona watazikwaa hizo nomination?
No comments:
Post a Comment