Thursday, May 3, 2012

Leo ni Siku Ya Uhuru wa Vyombo Vya Habari

wanahabari wakimhoji Rais Kikwete

waandishi kazini
 leo wanahabari nchini Tanzania wanaungana na wanahabari wenzao Duniani kote kuadhimisha siku ya Uhuru wa Yombo Vya Habari Duniani.
siku hii inaadhimishwa wakati Tanzania tayari ikiwa na sheria ya uhuru wa vyombo vya habari ambao unadaiwa kutumika vibaya wakati mwingine katika baadhi ya maeneo na kuathiri dhana nzima ya uwepo wa uhuru huo hapa nchini,kuipopotoa taaluma,kukiuka maadili ya uandishi wa habari.
kila lakheri waandishi wenzangu, katika siku hii kubwa katika kazi zetu za kila siku!
3/5/2012

No comments:

Post a Comment