Showing posts with label Mapenzi. Show all posts
Showing posts with label Mapenzi. Show all posts
Monday, June 9, 2014
Thursday, February 20, 2014
KIMENUKA
Tuesday, February 11, 2014
Monday, February 10, 2014
JAMANI TUNDA! HATARIIII

Mzee mmoja mwenye hasira kali, Deji Kamoru, amejikuta
akitiwa mbaroni baada ya kumfuma binti yake Aishat chumbani kwake na kuuamua
kumrusha kupitia dirishani ghorofa ya 3, mkasa huo kwa mjibu wa walioshuhudia
ulitokea pale mzee huyo aliporudi nyumbani kwake na kumkuta binti yake mwenye
umri wa miaka 14 akiwa chumbani kwa baba yake akila uroda na boyfriwnd wake,
kwa mjibu wa shuhuda wa tukio hilo mzee
huyo aliamua kumfunga mikono binti yake huyo na kumchapa kisha kumrusha
dirishani... binti huyo alipofika chini alipigiza kichwa na kupoteza fahamu..
mpaka sasa binti hajitambui na yuko ICU katika hospital ya taifa ya nigeria...
mzee huyo ameachiwa kwa dhamana ili aweze kumhudumia mwanae hospital kwani mama
yake waliishatalikiana siku nyingi
Friday, December 13, 2013
Thursday, November 28, 2013
Friday, November 8, 2013
MTOTO WA MIAKA 11 AEZA OLEWA? ANALO MDHUNGU
Sunday, October 13, 2013
Wednesday, September 25, 2013
Friday, September 20, 2013
HATA KAMA LAKINI WENYEWE KWA WENYEWE? MH
WIKI ILIYOPITA WANAUME WAWILI AMBAO NI WANAJESHI WASTAAFU, WALIOANA KATIKA ENO LAO LA MAKAAZI MAHALI AMBAPO NDOA HIYO KATI YA WATU WA JINSI MOJA KUOANA HIYO NI YA KWANZA

WAPENZI HAO MMOJA ALIYEPIGANA VITA VIKUU VYA KWANZA VYA DUNIA ANA UMRI WA MIAKA 95 NA JINA LAKE NI - John Banvard,NA AMEMUOA MPENZI WAKE WA SIKU NYINGI MWENYE UMRI WA MIAKA , 67 AITWAYE GERARD NADEAU,AMBAYE ALITUMIKA WAKATI HUO KATIKA NCHI YA VIETNAM KAMA MWANAJESHI. WAWILI HAO WAMEDUMU PAMOJA MAPENZINI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 20.
Thursday, September 19, 2013
Wednesday, September 18, 2013
Tuesday, August 27, 2013
Wednesday, August 21, 2013
MWANARIADHA OSCAR PISTORIUS APANDISHWA TENA KIZIMBANI , ASHTAKIWA KWA MAUAJI
Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amefikishwa mahakamani leo katika Mji wa Pretoria,Afrika Kusini na ameshtakiwa kwa kosa la kumuua mpenzi wake.
Monday, July 29, 2013
SIMON SIMALENGA A.K.A MR DIMELA A.K.A MWANASHERIA APATA JIKO

Kambi ya Wasinii wa Filamu na
Maigizo pamoja na Kambi ya Waanahabari Makapela Tanzania imepata pigo kubwa
baada ya Mwanachama wake Nguli, Simon Simalenga kuamua kuiaga kambi hiyo na
kuingia rasmi katika Kambi Tawala ya Wanandoa baada ya kufunga Ndoa na Bi.
Neema Inana. Wawili hao wameamua kuiga kambi hiyo ya Upinzani katika mahusiano katika Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mwokozi Sinza jijini
Dar es Salaam na baade katika tafrija kubwa ILIyofanyika wa Julai 27,
2013 katika ukumbi qa Grande Hall uliopo ndani ya Hoteli ya Picolo Beach Mbezi.
Monday, July 22, 2013
Tuesday, July 2, 2013
Wednesday, June 5, 2013
HONGERA SHAMIM MWASHA KWA KUFUNGA NDOA.
Subscribe to:
Posts (Atom)











