Wednesday, June 5, 2013

JIONI HII NIKO SHEREHENI NA HUU NI MTAZAMO WA AWALI


Bi harusi ndipo atakapo keti, hapa ua lake la mezani halijawekwa.

Wapambaji wakiendelea kunadhifisha.
Napendaje maua jamani!
Barnaba Nason akiwa amipigilia rangi ya shughuli


Mc Joaquim Joseph a.k.a Mc JJ kutoka Moshi mjini wako jijini Dar-Es-Salaam kwa shughuli moja tu, kusababisha sherehe inakua kama ilivyopangwa.
Mc JJ na Barnaba mpiga piano maarufu Moshi
Kwasehemu ukumbi unavyoonekana.
 Barnaba the pianist, ataimba wimbo wa Michael W. Smith, nakuwekea hapo chini




ENJOY

No comments:

Post a Comment