Unaieleza vipi, na unatetea
vipi, kontena lenye meno ya ndovu, wanakwambia kwamba origin yake ni bandari ya
Dar es Salaam. Pale bandarini, kuna vyombo mbalimbali --kuna polisi, kuna
customs TRA, kuna watu wa pori wenyewe, kuna watu wa usalama, na kadhalika --
kontena linatoka na meno ya ndovu, linakwenda kukamatiwa Hong Kong, linakwenda
kukamatiwa Philippines, linakwenda kukamatiwa Vietnam. Kama yapo masuala ya
msingi jamani tujiulize, kontena linatokaje? Utaratibu ni upi wa kontena kutoka
nchini? Tusaidiane. It is risky, kuna pesa nyingi, lakini some people inabidi wafanye
wanavyo weza kufanya for the future of the country lakini pia vizazi vijavyo,
vitatuhukumu
No comments:
Post a Comment